Nyavu
160
Drama
16
Shaka, Heri, Dina na Fifi Katika mpangilio wa Bi Lena! – Nyavu
Video
20 Mei
Katika mipango ya Heri kuhusu Ida, anasababisha Shaka kutekwa nyara na kupewa kazi ili Awache tabia zake duni za ulevi na kuhangaisha jamii. Stoni anajaribu kumshawishi Fifi akiogopa sana hasira zake. Dina anawapata wakijadiliana!
Jisajili kuangalia
Up Next
Changamoto za kifamilia – Nyavu
13 Mei
Uovu wa Ston – Nyavu
06 Mei
Msimu wa kwanza! – Nyavu
04 Mei
Nani atalipa deni? – Nyavu
04 Decemba
Shaka anataka kurudiana na Ida – Nyavu
21 Novemba
Ugomvi kati ya Fifi na Stoni – Nyavu
07 Novemba