Nyavu
160
Drama
16
Main
Video
Asiyefunzwa na Mama! – Nyavu
Video
27 Mei
Sudi anamkosea heshima mama yake mzazi na kukataa kabisa kurudi masomoni. Huku Stoni anaendelea kumhangaisha mke wake, madharau chungu nzima! Siti ako na malalamiko na maonyo kwake Bi Lena! Lena atayapokea mawaidha ya Siti?
Jisajili kuangalia
Up Next
Madiliko katika FAR Connect – Slay Queen
22 Mei
Shaka, Heri, Dina na Fifi Katika mpangilio wa Bi Lena! – Nyavu
20 Mei
Mabinti wanazuka Moto katika familia! – Slay Queen
15 Mei
Harusi tunazo au sio? – Huba
15 Mei
Changamoto za kifamilia – Nyavu
13 Mei
Usaliti wa Sidi ni uchungu wa Kashaulo! – Huba
08 Mei
Maudhui Yanayohusiana
Video
Changamoto zazidi – Pazia S6 Ep25-27
Miriam amuonya Lolita na waishia kupambana. Eliza bado yupo chini, wakati Waridi ana maswali kwa Edu. Gloria aja kumtembelea mama yate na Fred aja kwa Chamsia.
Video
Thomas aomba radhi kwa Frank – Jua Kali
Thomas amuomba Radhi Frank melee ya Maria akita anamwambia kuhusu yeye. Mama Michael na Mary wagombana tena na Felix atoa ukweli kuhusu Maria. Mama Suzy amfukuza mchumba wake Suzi
Video
Harusi ya Devi na Nelly–Huba
JB amwambia Devi kwamba furaha ya Nelly inakuja kabla ya furaha ya mtu yoyote mwingine. Kashaulo aingilia harusi ya Nelly na Devi. Devi agombana na mama yake. Nandy arid nyumbani kumkuta Doris.
Video
Chakula kina sumu – Kitimtim
Dada Fatu ajaribu kunywa dawa ya kienyeji na Pili na Sbafa wamkataza. Mama Pili amkataza geni kula chalupa chenye sumu.