Main
Semindu apigana na Chifu Kandamsile – Mwali
Video
13 Novemba
Jefa amwambia Mwali kama anahisia nae na a kwamba anampenda mbele ya rafiki Cheko. Nozo amwambia Zawadi kwamba hana mapenzi nae na hataki ndoa ya kulazimishwa. Chifu Pingu atayarisha ndoa ya Tausi na Semindu amuokoa mama yake mikononi mwa baba yake.
Jisajili kuangalia
Up Next
“Usilazimishe vitu”– Huba
11 Novemba
Mabaya ya tokea Afrika Kusini– Jua Kali
06 Novemba
Kitundu azamia Afrika Kusini– Jua Kali
01 Novemba
Mama Tanasha achoma moto gari ya mwanae– Yalaiti
28 Oktoba
Angel apatikana– Huba
21 Oktoba
Regina ajaribu kumtoa Henry jela – Pazia
19 Oktoba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Seminde bado hapatikani – Mwali
Semindu bado hapatikani na Chifu Kandamsile atoa amri ya kumuacha huru Bi Hoza. Zawadi atoa umbea kuhusu mtawala na Bi Waridi.
Video
Zawadi afungwa – Mwali
Hali ya Chifu Kandamsile yazidi kuwa mbaya wakati Zawadi bado amefungwa.
Video
Mwali ataka kurudu nyumbani – Mwali
Mwali alilia kurudi nyumbani na Chifu Kandamsile ampiga make wake.
Video
Tausi amwambia Nozo ukweli – Mwali
Tausi amwambia Nozo kwamba Mwanahawa atalala na baba yake. Chifu Kandamsile amwambia kwamba Mwali kwamba wanaweza kupoteza ardhi na Semindu afuatilia barua.