Mizani Ya Ushambenga
160
Uhalisia
PG13
Main
Video
Habari
muhula
20
17
16
14
13
12
Video za Mizani
Sanjeet apigana na Don G – Jiya
“Kutana na mlima!” – Dosari
Video
Femi apata matibabu – Jua Kali
Vivian amwambia Maria amuhurumie Thomas wakati Femi na Lukas wanenda kupata matibabu.
Video
Hali ya Tesa vipi? – Huba
Sada ampa Tima barua ya Tishi toka shuleni. Jude atakamjulia Tesa hali.
Video
“Bora uchague mwanamke unaye endana nae!“– Kitimtim
Mama Pili amfanyia njama mwanae na kumrudisha Zunde.
Video
Don G alewa – Jiya
Don G apigana baada ya kugundua kwamba Jiya ameshaolewa.
Video
Maria atoa maonyo - Jua Kali
Auntie Zai ataka Naira amsaidia kuchafua nyumba ya Prof na Maria amuonya mtumishi mwingine. Hatimaye Felix aja kuomba radhi.
Video
Bi Sikitu atoa alana kwa Doris - Huba
Bi Sikitu ampa laana Doris, wakati Nelly aja kumuokoa dada yake.
Video
Finale ya Season 1 – Nuru
Sikudhani bado aendelea na mishe zake na Rita achoka kabas na Ronald.
Video
Jiya akataa kuolewa – Jiya
Senteu atoroka toka mwenye boma lake na aishia mjini kwenye harusi
Video
Anna arudi– Jua Kali
Anna arudi nyumbani wakati huku kwa mama Luka, Femi apewa onyo.
Yajayo
Leo
Kesho
Jumamosi