channel logo dark
channel logo dark

Mizani Ya Ushambenga

160Uhalisia13

Mwanamme wa kuabisha – Mizani Ya Ushambenga

Video
30 Oktoba

Wiki hii #MIZANIYAUSHAMBENGA!, wanaume mpo wapi? Kuna wale wana tabia za kuabisha mke anapo safiri nyumbani na kumleta mwanmke mwingi hadi chumba cha mke. Tujadili basi! #MIZANIYAUSHAMBENGA! ungana na majemedari wetu wa maswala haya kila Jumatano saa 1 Usiku kupitia Dstv160 pekee! https://bit.ly/2XTyBpw