Logo
Mchikicho small strip
channel logo dark

Mchikicho Wa Pwani

160RealityPG13

Tazama sasa

Bi Maamisa Chuma hapa Mchikicho wa Pwani! – Mchikicho wa Pwani

00:02:25
Mambo ni kinaga ubaga hapa Mchikicho wa Pwani! Wanawake, funzo la leo, Utundu jikoni, ukahaba chumbani! Pata utama wa uhondo hapa!
Bi Maamisa Chuma hapa Mchikicho wa Pwani! – Mchikicho wa Pwani Image : 659

Video zote

Tabia ambazo sio za kimsingi – Mchikicho Image : 942
Wakosa adabu  - Mchikicho wa Pwani Image : 939
Wakosa adabu - Mchikicho wa PwaniKwenye kipindi cha #mchikicho Mariam wa Migomba ananena jambo la muhimu, asema kuhusu watu ambao hawana nafsi, wakienda kwenye sherehe wanajisahau, kazi yao ni kushimbia kwenye sherehe bila kujali maslahi ya wengine. Si hiyo ni kukosa adabu?
Majungu Kazini  - Mchikicho wa Pwani Image : 937
Majungu Kazini - Mchikicho wa PwaniWiki hii Mariam ana nena na wafanyakzi wote! Lakini wale wenye majungu ofisini vizabizabiana ana machache ya kuwambia, tabia hiyo ni mbaya tena sio kidogo!
Rafiki wa ukweli- Mchikicho wa Pwani Image : 934
Rafiki wa ukweli- Mchikicho wa PwaniWiki hii Bi Mariam wa Migomba anatushauri mengi. Je Mwanamke aliyefunga ndoa waweza kutambua rafiki wa ukweli ? Na Makuwadi ? aweza kuwa ni jirani, mwanamme mwingine. Na Kunazo sifa za kijinga kutoka marafiki?
Maisha ya ndoa  - Mchikicho wa Pwani Image : 926
Maisha ya ndoa - Mchikicho wa PwaniWiki hii Bi Mariam wa Migomba anatushauri haya kuhusu ndoa, mambo yakiwa mazuri au mabaya tujaribu kutowashirikisha Watoto kwenye ugomvi wa wazazi, anaendelea kugusia ya kwamba iwapo yatashindikana kabisa na kuamua kuachana basi na zile huduma na mapenzi kwa Watoto yasiwe ndio mwisho. Kama ulikosa kutazama huchachelewa usikose kwa nasi kila Jumatano saa 1 jioni.
Naomba msamaha mume wangu! – Mchikicho wa Pwani Image : 675
Naomba msamaha mume wangu! – Mchikicho wa PwaniKitamu hakiishi hamu. Msemo huu unashika mizizi kabisa katika swala la mahusiano kati ya waume na wanawake. Je, ni nini kinachoweza kufanya moyo wa mume kukauka mapenzi? Usikose!
Ukipenda ua penda na mboga lake – Mchikicho wa Pwani Image : 725
Ukipenda ua penda na mboga lake – Mchikicho wa PwaniMawaidha kuhusu heshima na mahusiano kati ya wake na waume na watoto wao. Ukuzi wa familia bora kutoka Bi Mariam wa Migomba hapa!
Mariam Ashauri Wanaume – Mchikicho wa Pwani Image : 835
Mariam Ashauri Wanaume – Mchikicho wa Pwani#MCHIKICHOWAPWANI Mariam kasema yote na kazungumza na wanaume! je una cha kuongeza hapa? bonyeza hapa kupata highlights. #MMBongo
Nyumbani kwako kunanukia nini? – Mchikicho wa Pwani Image : 648
Nyumbani kwako kunanukia nini? – Mchikicho wa PwaniWake wenzetu tafuteni muda wa kumtayarishia mume wako chakula maana mapishi yake ni ya kipekee! Sikiliza!
Desturi za chumbani, wamama wamenena! – Mchikicho wa Pwani Image : 667
Desturi za chumbani, wamama wamenena! – Mchikicho wa PwaniDesturi za ndoa na kazi za chumbani, jinsi ya kuishi na watoto. maisha magumu ya upweke, na mengineo! TEGA SKIO!
Bi Maamisa Chuma hapa Mchikicho wa Pwani! – Mchikicho wa Pwani Image : 659
Bi Maamisa Chuma hapa Mchikicho wa Pwani! – Mchikicho wa PwaniMambo ni kinaga ubaga hapa Mchikicho wa Pwani! Wanawake, funzo la leo, Utundu jikoni, ukahaba chumbani! Pata utama wa uhondo hapa!
Pata mawaidha kuhusu kujipodoa – Mchikicho wa Pwani Image : 785
Pata mawaidha kuhusu kujipodoa – Mchikicho wa PwaniHost Mariam Migomba anaongea kuhusu kuweka make-up and kujirembesha. Pata uhondo hapa!
Mawifi na Wakwe! Inlaws! – Mchikicho wa Pwani Image : 779
Mawifi na Wakwe! Inlaws! – Mchikicho wa PwaniWhy do so many brides/wives have such a hard time with their in-laws? Ni nini kinachosababisha ugomvi kati ya mashemeji? Uhondo hapa!
Mke anayemcha Mungu – Mchikicho wa Pwani Image : 692
Mke anayemcha Mungu – Mchikicho wa PwaniHeshima za Wake kwa Waume na kutukumbusha ukarimu na nidhamu kwenye ndoa huboresha mahusiano. Tukumbuke bila mwenzako, haungekuwa ulipo maishani! TAZAMA!
Faraja na urafiki katika Mchikicho! – Mchikicho wa Pwani Image : 656
Faraja na urafiki katika Mchikicho! – Mchikicho wa PwaniBaba Africa na Mariam wanazindua swala la waume kuwapa wake zao faraja na urafiki katika ndoa. Wanawake wanpenda sana kujaliwa na kubembelezwa! Sikiliza uhondo!
Uzuri wa mwanamke ni kujuamini – Mchikicho wa Pwani Image : 825
Uzuri wa mwanamke ni kujuamini – Mchikicho wa PwaniMarriam Migomba anazungumzia kuhusu uke wenza. Pata uhondo hapa!
Inocent Nganyangwa katika Mchikicho wa Pwani – Mchikicho wa Pwani Image : 640
Inocent Nganyangwa katika Mchikicho wa Pwani – Mchikicho wa PwaniUhondo kuhusu jukumu la ndoa na taasisi ifaayo katika mahusiano ya wanandoa. Usikose!
Usitafute kadha, ukapata kadha wa kadha! Heshimu simu! – Mchikicho wa Pwani Image : 699
Usitafute kadha, ukapata kadha wa kadha! Heshimu simu! – Mchikicho wa PwaniChangamoto zinazotokana kwa kukosa kujiamini mojawapo ukaguzi wa simu ya mpenzi wako inaleta shida kubwa yakutoelewana katika mahusiano! TAZAMA!
Mariam azungumza kuhusu wageni – Mchikicho wa Pwani Image : 838
Mariam azungumza kuhusu wageni – Mchikicho wa Pwani#MCHIKICHOWAPWANI Mariam anazungumzia kuhusu wageni wasio na haya, wanapokaribshwa wanakuwa wenyenji nyumba #MMBongo
Urithi wa mwana wa kike! – Mchikicho wa Pwani Image : 668
Urithi wa mwana wa kike! – Mchikicho wa PwaniMariam wa Migomba anachambua swala la urithi wa mwana wa kike siku hizi. Mbeleni watoto wa kike hawakupewa urithi wa wazazi walipoaga. Sikiliza!
Wanawake watumia madawa - Mchikicho wa Pwani Image : 852
Wanawake watumia madawa - Mchikicho wa Pwani#MCHIKICHOWAPWANI Mariam anazungumzia kuhusu wanawake wanaotumia madawa kupata mme.Baada ya kufunga ndoa mambo yabadilika ambapo akili ya mme inarudi #MMBongo
Mariam anaongea kuhusu mapenzi- Mchikicho wa Pwani Image : 847
Mariam anaongea kuhusu mapenzi- Mchikicho wa Pwani#MCHIKICHOWAPWANI Mariam anachambua kuhusu mapenzi ya kudumu.Asema watu wanaofunga ndoa basi mapenzi yao itadumu kama wanavumiliana. hata kama hakuna kiptao #MMBongo
Je, jirani wako ni nani? – Mchikicho Wa Pwani Image : 812
Je, jirani wako ni nani? – Mchikicho Wa PwaniMarriam Migomba anaongelea kuhusu wapangaji. Kuna wale wanatengeneza mazingira ya kutolipa kodi kwa wakati. TAZAMA highlights hapa
Baba Bora ni nani? – Mchikicho wa Pwani Image : 896
Baba Bora ni nani? – Mchikicho wa PwaniWewe ni Baba ambaye umepangilia na kutimiza majukumu ya famila yako? Are you a rtesponsible provider who plans well for your family? Endelea kutizama DStv chaneli 160 Official Website: https://maishamagicbongo.dstv.com/ Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Tabia ambazo sio za kimsingi – Mchikicho

Nyumba ya burundani on Maisha Magic Bongo