Logo
HOMEPAGE BILLBOARD GENERIC
channel logo dark

La Familia

160Drama16

muhula

6

4

1

Screenshot 2021 11 24 at 20

KUHUSU KIPINDI

Bwana na Bibi Ibrahim wamejalia na utajiri na pia watoto watano, wavulana wawili na wasichana watatu. Familia ya aanza mgogoro baada ya Bwana Ibrahim kumpa kampuni mtoto wake wa kwanza wa kiume, wakati mtoto wake wa pili wa kike alikuwa anaitaka.

S1 | E13
01 Decemba 22:00
'S1/E13 of 13'. Maamuzi ya Mzee Ibrahim ya kugawa mali zake yanaleta uhasama mkubwa katika familia, akijaribu kuweka mam...
Untitled design (6)
Kipindi gani kipya umeburudika nacho zaidi?

Kipindi gani kipya kinakuburudisha zaidi? Piga kura yako hapo chini

La Familia63%
Danga37%

Waigizaji wa La Familia

La Familia

Video
09 Novemba

Maamuzi ya Mzee Ibrahim ya kugawa mali zake yanaleta uhasama mkubwa katika familia, akijaribu kuweka mambo sawa, anazidi kuyavuruga.

 Vipindi vinavyoanza na kuisha ndani ya Maisha Magic Bongo mwezi huu

News
04 Novemba 2021
Mwezi huu kuna mambo mapya ndani ya DStv chaneli 160
1

Tunanza mwezi wa Novemba na mabadiriko mapya. Pazia itaisha tarehe 10 Novemba badala yake kipindi kipya cha Danga kitaanza tarehe 15 Novemba saa 1:30 usiku. Acha tukusahidie ili ujueni nini utakacho kitegemea ndani ya vipindi hivi wiki hii

Mwisho wa Pazia (Tarehe 10 Novemba, saa 1:30 usiku)

Swali kubwa tangu mwanzo wa Pazia lilikuwa, “ni nani baba yake Regina?”. Baada ya Mariam kurudi bado hajasema kwa uhakika ni nani baba yake Regina kati ya Mdoe na Henry.

Mwanzo wa Danga (Tarehe 15 Novemba, saa 1:30 usiku)

Bwana Idris Sultan, mtu maharufuu sana Tanzania ajiunga na Maisha Magic Bongo kukuletea kipindi kipya cha Danga. Kipindi hiki kinahusu wadada wa mjini; Pipi, Angel na Mo wanaofanya juu chini kuhakikisha wanamlaghai Mark tajiri mkubwa mjini.

Mwanzo wa La Familia (Tarehe 15 Novemba, saa 4 usiku)

Kipindi cha La Familia kinahusu Bwana Ibrahim na familia yake ya mke na watoto watano. Maamuzi ya Mzee Ibrahim ya kugawa mali zake yanaleta uhasama mkubwa katika familia, akijaribu kuweka mambo sawa, anazidi kuyavuruga.

Showing
Ni kipindi gani kipya cha Novemba unahamu nacho?

Tuambie ni kipindi gani unahamu nacho? Piga kura yako hapo chini

La Familia41%
Danga59%

Tuambie ni kipindi gani unahamu nacho