#HarusiYetuTZ , Nesia na Emmanuel –wawili hawa walikutana kazini.
Nesia alikuwa na mahusiano lakini mpenzi wake alikuwa mbali, Kwa haraka Emmanuel akajaza hilo pengo. Je aliachanaje na mpenzi wake? Harusi yao ilipendeza sana kuanzia mavazi vyakula maharusi wetu wetu nyuso zao zilijawa na furaha isiyo kifani , heko kwenu mr &mrs Emmanuel, tukutane tena kila alhamisi saa 1 usiku kupitia DStv160 pekee!