Logo

Orodha ya vitu ambavyo hautaki ndani ya mapenzi

Habari
15 Februari 2021
Ndani ya mapenzi piakuna vitu ambavyo sio vizuri na inakuwa vyema kama ukijitoa kwenye mahusiano ya aina mbaya.
Screenshot 2021 02 25 at 15

Ndani ya vipindi vinavyovuma kwenye Maisha Magic Bongo, kuna mahusiano mengine ambayo yanawaacha watazamaji wakijiuliza kwanini hawa watu wawili wako Pamoja?

 

  1. Kupigana – Nandy na Joffery (Karma)

Mahusiano kati ya Nandy na Joffery ya zidi kudidimia. Joffery alianza kumpiga Nandy zamani na kila siku alizidi mpaka kitendo cha kumuuniza na Nandy tuondoka. Sasa hivi Joffery anataka warudiane lakini taia yake badohaijabadirika.

 

  1. Kubishana - Michael na Mary (Jua Kali)

Mawasiliano kati ya wapenzi ni kitu muhimu sana, Michael na Mary hawawezi kusikiliza na ugomvi kati yao unazidi kukua kila siku.

 

  1. Kuto jitolea – Henry na Maria (Pazia)

Ingawa wana mtoto Pamoja, Regina, Henry na Maria bado wanacheza mchezo kati yao na hawasemi kama watarudiana au wataachana.

 

  1. Kumtishia mpenzi wako kumwacha – Pili na Zunde (Kitimtim)

Pili analalamika san ana kila akikasirika anamtishia Zunde kwamba atamuacha na alifika mpaka hatua ya kumdanganya na kumuacha.

 

  1. Kuwa umekwama kwa mpenzi wako wa zamani – Roy na Doris (Huba)

Ingawa Roy na Doris wako Pamoja moyo wake na Roy bado uko kwa Nandy na kila siku zikizidi anazidi kumfikiria mpaka limekuwa tatizo kubwa ndani ya mahusiano yao.

 

Kumbuka kwamba unaweza kupata vipindi hivi vyote muda wowote na saa yeyote ndani ya Showmax.