Logo
Jua Kali
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Je Eva ana ukimwi? – Jua Kali

Habari
25 Aprili 2024
Bill ataka kujua ukweli kuhusu hali ya Eva!
Jua Kali

Baada ya Bill Junior kurudi nyumbani, mahusiano kati yake na Eva yamekuwa magumu. Eva aliamua kumwambia Bill ukweli kuhusu maisha yake ya zamani kabla ya kufanya kazi nyumbani kwao.

Bill bado anampenda Eva lakini anawasiwasi waku naye juu ya hofu kwamba anaweza kuwa amebeba maradhi ya ukimwi. Je Eva ana haki ya kumficha majibu ya vipimo vyake au ni lazima amwambie Bill kama ana ugonjwa huu?

Jua Kali
Eva na Bill - Jua Kali

Je Eva ana ukimwi? - Jua Kali

Ndiyo85%
Hapana15%

Kumbuka kufuatilia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo. Kumbuka kufuatilia maongezi yote ndani ya kurasa zetu za jamii: Facebook, Twitter (X), Instagram na TikTok.