Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Siri za tobolewa! – Jua Kali
Video
29 Oktoba
Naira aendelea na ukaribu na Bwana Kaka wakati akita wake na Prof Bill amwambia mkewe arudishe mahusiano na Mr Michael. Femi atom unwell juu ya ugonjwa wake.
Stream on Showmax
Up Next
Mwanzo wa Dhohar– Dhohar
29 Oktoba
Mzee yupo wapi?– Wimbi
27 Oktoba
“Kujiuza sio rahisi”– Huba
26 Oktoba
‘Follow’ ya Pili – Kitimtim
26 Oktoba
Anita amuomba msamaha Thomas – Jua Kali
22 Oktoba
Season finale ya Mwali – Mwali
22 Oktoba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Jua Kali yapokea tuzo tatu ndani ya Magic Vibe Award - Maisha Magic Bongo
Tamthilia ya Jua Kali ya zoa tuzo tatu; Best East African TV Series, Best East African TV Actor (Isarito Mwakalindile) na Film Director of the Year (Leah Mwendamseke Lamata).
Video
Msaliti mkubwa!– Jua Kali
Glory aja kwa Za kumuita msaliti, wakati Frank amfuma Thomas na Maria. Prof Bill amuomba Anna ajenge mahusiano na Bwana Kaka.
Video
'Nimekuchafulia' – Jua Kali
Meza zinageuka, Profesa Bill anavunja ukimya anayasema yote, na kila mwenye siri zote zinafichuka. Nani atabaki salama?
Video
Mwanamke uliyemchagua – Jua Kali
Meza zinageuka, Prof Bill anavunja ukimya, anayasema yote. siri zote zinafichuka - nani atabaki salama?