Jua Kali yapokea tuzo tatu ndani ya Magic Vibe Award - Maisha Magic Bongo
Video
22 Novemba
Tamthilia ya Jua Kali ya zoa tuzo tatu; Best East African TV Series, Best East African TV Actor (Isarito Mwakalindile) na Film Director of the Year (Leah Mwendamseke Lamata).