Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Frank awatembelea Michael na Mary – Jua Kali
Video
05 Machi
Anna amwambia Thomas kumwambia Frank unwell kuhusu mahusiano yao. Luka aambiwa kwamba anapendwa na Vivian amwambia Frank kwamba Maria hampendi na Mama Michael akataa kuondoka kwa Mary na Michael.
Stream on Showmax
Up Next
Pili yupo tayari kulipa madeni Kitimtim
01 Machi
Nelly afukuzwa – Huba
24 Februari
Waridi na Kitua – Harusi Yetu
21 Februari
Mdoe ataka kuoa tena! – Pazia
08 Februari
Bobo atuma barua kwa Anna– Jua Kali
05 Februari
Kashaulo yupo wapi? – Huba
27 Januari
Maudhui Yanayohusiana
Video
“Wewe ni baba wa King” – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Thomas amwambia Maria avunje mahusiano yake na Frank.
Video
Msaliti mkubwa!– Jua Kali
Glory aja kwa Za kumuita msaliti, wakati Frank amfuma Thomas na Maria. Prof Bill amuomba Anna ajenge mahusiano na Bwana Kaka.
Video
Jua Kali yapokea tuzo tatu ndani ya Magic Vibe Award - Maisha Magic Bongo
Tamthilia ya Jua Kali ya zoa tuzo tatu; Best East African TV Series, Best East African TV Actor (Isarito Mwakalindile) na Film Director of the Year (Leah Mwendamseke Lamata).
Video
Thomas aja kwa Maria na ushahidi – Jua Kali
Frank apiga sim akiomba msahada, wakati Thomas aja kwa Maria na ushahidi kuhusu Anita.