Femi amwambia Luka ukweli – Jua KaliTunu amshauri Femi asikilize moyo wake. Sophia agenda kwa jirani ya kwa ushauri, Luka agundua kwamba Femi anafanana na Frank. Wakati Anna adai kwamba Linda alimrudisha nyuma na Femi amwambia Frank kwamba anampenda Luka.