Jua Kali
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Auntie Zozo– Jua Kali
Video
18 Machi
Naira akana kuwa na mimba kwa Frank, wakati Tunu aamua kumtembelea Felix kwa Thomas na Stella na aona Stella na Felix pamoja. Wakati Thomas afungiwa chumbani kwa Anitha wakati Frank alivyokuja. Hatimaye Anna kafika Ghana kwa Bobo.
Stream on Showmax
Up Next
Pipi yupo tayari kuongea - Danga
17 Machi
Je Naira ana mimba? – Jua Kali
11 Machi
Doris mnyonya damu!– Huba
11 Machi
"Wivu utakuua" – Danga
09 Machi
Naomba msamaha! – La Familia
05 Machi
Mary ataka kuua! – Jua Kali
04 Machi
Maudhui Yanayohusiana
Video
Jua Kali yapokea tuzo tatu ndani ya Magic Vibe Award - Maisha Magic Bongo
Tamthilia ya Jua Kali ya zoa tuzo tatu; Best East African TV Series, Best East African TV Actor (Isarito Mwakalindile) na Film Director of the Year (Leah Mwendamseke Lamata).
Video
Msiba wa Bibi – Jua Kali
Semina afokewa na kufukuzwa juu yakutolalala nyumbani. Auntie Zai adai kujifungia ndani na Naira wakati wa msiba. Frank Lupo tayari kupoteza mtu yoyote juu ya Maria.
Video
Eva aomba msamaha kwa Bill – Jua Kali
Sophia adaiwa pesa wakati kuhusu Eva aendelea kumuomba Bill msamaha.
Video
“Wewe ni baba wa King” – Jua Kali
Michael agundua kwamba mtoto ni wa kwake na Thomas amwambia Maria avunje mahusiano yake na Frank.