Logo
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Maisha Magic Bongo ya teuliwa kwenye tuzo la bodi ya filamu Tanzania

Habari
24 Novemba 2021
Jua Kali, Slay Queen na Kititim ni baadhi ya vipindi vilivyochaguliwa kwa ubora!
TFFA 2021

Serekali yatuletea tuzo za kwanza za filamu kupitia bodi ya filamu nchini Tanzania (Tanzania Film Festival Awards) na Maisha Magic Bongo yateuliwa kwenye vipingele 16 vya waigizaji na vipindi:  

BEST ACTOR AUDIENCE CHOICE

(MUIGIZAJI BORA WA KIUME KWA CHAGUO LA HADIRA)

Mohamedy Kingara (Iddy Kapalata) - Jua Kali

Seleman Barafu (Mudilee) - Slay Queen

BEST ACTRESS AUDIENCE CHOICE

(MUIGIZAJI BORA WA KIKE KWA CHAGUO LA HADIRA)

Maria Mdee aka Mimi Mars (Maria George) - Jua Kali

Mariam Ismail (Merry) - Slay Queen

BEST SERIES

(TAMTHILIA BORA)

Slay Queen

Jus Kali

 

BEST COMEDY

(VICHEKESHO BORA)

Kitimtim

BEST SERIES COMEDY (ONLINE & TV)

(TAMTHILIA BORA YA VICHEKESHO – MITANDAONI NA TV)

Kitimtim

 

BEST ACTOR

(MUIGIZAJI BORA WAKIUME)

Jacob Steven (JB) - Slay Queen

 

BEST ACTRESS

(MUIGIZAJI BORA WA KIKE)

Godliver Gordian - Jua Kali

 

BEST COMEDIAN

(MCHEKESHAJI BORA)

Pili (Gladness Kifaluka) – Kitimtim

 

BEST SUPPORTING ACTRESS (MUIGIZAJI BORA WA KIKE ANAYESAIDIA)

Hellen Herma - Jaa Kali

BEST FEMALE DIRESTOR


(MUONGOZAJI BORA WA FILAMU WA KIKE)

Lamata Leah (Jua Kali)

BEST PRODUCTION DESIGN

 

Jua Kali

Slay Queen

BEST SET DESIGN

 

Jua Kali

Slay Queen

BEST GRAPHIC DESIGN

Jua Kali

BEST EDITING

 

Jua Kali

BEST MUSIC SCORE

Jua Kali

BEST COSTUME DESIGN

Jua Kali

Washabiki wanaweza kupiga katika vipengele tofauti kweye tovuti hii: https://filmboardawards2021.info/#/!

Maisha Magic Bongo inawatakia kuwapongeza wote walioteuliwa!