Logo
Huba
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kuwaka Moto na Misimu Mipya: Tamthilia za Aprili kwenye Maisha Magic Bongo!

Habari
08 Aprili 2024
Mambo yazidi kuwaka moto ndani ya Maisha Magic Bongo.
Article

Kwa wapenzi wa tamthilia za kusisimua na zenye kuvutia, Maisha Magic Bongo inakuletea msisimko mpya kupitia msimu mpya wa vipindi mbalimbali huu Aprili. Ukiachana na vipindi viwili vipya mwezi huu tunakuletea pia misimu mipya ndani ya tamthilia upendazo. Kuanzia tarehe 1 Aprili, Mpali itaanza na msimu wake wa 5, Huba itaanza na msimu wake wa 13 na Jua Kali itaanza na msimu wake wa 7. Soma orodha ya vipindi vivyo hapo chini:

 

Mpali (Msimu wa tano)

Endelea kufuatilia familia  ya Mzee Nguzo na wake zake wote baada yam toto wake kupandishwa cheo. Usikose kufuatilia kipindi cha #MMBMpali ndani ya muda mpya kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 2 usiku ndani ya DStv chaneli 160!

 

Huba (Msimu wa 13)

Baada ya ajali ya Devi ndani msimu uliyopita usikose kuona itakuaje kama Tesa atafanikiwa kurudisha nyumbani. Usikiptwe na yote ndani kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya DStv chaneli 160.

 

Jua Kali (Msimu wa 7)

Msaani maarufu Elizabeth Michael, arudi ndani ya #MaishaMagicBongo kama Maria ndani ya Jua Kali. Je atafankiwa kuchagua ni nani anayemfaa kati ya Frank na Thomas? Usikose kufuatilia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160,

MISIMU MIPYA YA TAMTHILIA ZA MAISHA MAGIC BONGO!

Ni msimu gani mpya umeupenda zaidi?

Mpali
Mpali13%
Huba S13
Huba7%
Jua Kali
Jua Kali80%

Kumbuka kujiunga na #MyDStv App kuburudika na tamthilia zote za #MaishaMagicBongo popote ulipo.