Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Vifaa muhimu kila mtu atahitaji akiwa gym – Huba

News
14 Oktoba 2023
Tumekuandalia zana kuu 5 zinazohitajika ukima mazoezini
Huba

Tangu Abby alivyoingia ndani ya #MMBHuba, amewapa wadada wengi motisha ya kuanza kufanya mazoezi ya mwili. Haswa Tima na Doris wamaeamua kuanza mazoezi kwa kasi sana , na hizi ndizo  vifaa vyao muhimu wakiwa mazoezini.

  1. Simu

Ni vyema ukiwa mazoezini kuwa na kiburudisho kidogo , warembo hawa wanatumia simu kusikiliza muziki pamaoja na kupiga picha na video mbali mbali ,

 

        2.Taulo

Mazoezi yanaweza kumfanya mtu atoke na  jasho sana, na taulo ni kitu ambacho kitakusaidia kufuta jasho iliuendelee kuwa freshi wakati wa kufanya mazoezi.

 

    3.Nguo za mazoezi

Hauwezi kuvaa nguo zozote tuu ukiwa unafanya mazoezi, ni lazima uonekane vizuri lakini pia uvae nguo ambazo utakuwa huru kupambana na purukushani za mazoezi.

 

   4. Chupa ya maji

Maji ni kinywaji  pekee muhimu sana mua wa mazoezi, mikiki mikiki ya mazoezi zina leta kiu na jasho , hivyo maji ni kitu muhimu sana .

 

   5. Begi

Hivi vitu vyote utakavyo chukua ni lazima kuwe na sehemu ya kuviweka. Usisahau kununua begi nzuri ya mazoezi ya kubebea vitu vyako.

 

Endelea kufuatilia kipindi cha #MMBHuba kujua Abby ataishia na Doris ama Tima. Jiunge nasi kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku na jiunganishe na #MyDStv App kwa  mengi zaidi.

Huba
Mazoezi - Huba

Utafanya mazoezi na nani?

Huba
Doris77%
Huba
Abby3%
Huba
Tima20%