Huba
160
Drama
16
Main
Video
Habari
Video za hivi karibuni
Malika arudi nyumbani na Ujauzito– Gharika
Kibibi yupo kwa mganga - Huba
Video
Nashpai aomba Senteu Msamaha - Jiya
Don G ajaribu kutengeneza 'ukaribu' na Jiya ili kumuumiza Senteu huku Sapna na Jaya wanazabana makofi. Kwa upande mwingine, Nashpai anamuomba Senteu msamaha
Video
Vurugu Ofisini kwa Moses
Doris aleta vurugu kazini baada ya kuitwa mdangaji huku Yolanda na Venny wanamwandama Selemani kwa kuchukua upande wa Baba yao Mkubwa. Ofisini, Moses aagizwa kukaa Staff Quarters.
Video
'Sitaki Kuenda Jela Mimi' Sudi kwa Masters Wake – Gharika
Sudi anawalilia Aizan na Badi na kuwaomba alindwe asiende jela baada ya Mamake Malika kuwajulisha kuwa ana video inayowaonyesha wakishiriki katika mauaji.
Video
Nini Kimemkuta Jude? - Huba
Chidi anashikwa mashati kwa kutaka kujua Jude alifanya kosa gani huku Kibibi amdadisi Uncle Makoyo kujua nini aliwaambia watu kumhusu.
Video
Wasanii wa Divas and Hustlas Kuigiza Kwenye Short Film-Divas and Hustlas
Nana Dollz hajapenda kuskia kuwa Kontawa amekaribishwa kuigiza kwenye short film na Dolly Restie huku Chinno ameambatana na Jaivah mtaani kuwakaribisha wakazi wa Mbagala kwenye show yake tarajiwa.
Video
Kadogo ajifanya Mgonjwa kisa Hela za Wanachama
Kadogo avamiwa na wanachama kwa kukosa kutoa hela ya watu ya 'Mchezo' huku Venny amchamba Babake kwa kutoonyesha umakini kwenye kuilinda mali ya Familia.
Yajayo
Leo
Alhamisi
Jumatatu