Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Tesa atapeliwa! – Huba

Habari
12 Februari 2024
Je Tesa alipize kisasi?
Huba

Baada yam toto wake Tesa, Devi, kuumwa vibaya na kuishia hospitalini Afrika Kusini. Tesa amekuwa akifanya chochote kile kumrudia mwanae nyumbani. Baada ya Devi kuzidi kuumwa, Tesa amekuwa akienda kanisani kutafuta Faraja. Kisa hiki ni kwamba nyumbani hakuna amani kabisa. Baada ya Devi kumwa ukaribu kati ya Tesa na Roy umezidi na sasa hivi wanaishi pamoja kama mume na mke. Lakini tangu mahusiano yao yalivyoanza Roy aekuwa akimtesa sana Tesa na kumkataza kwenda kanisani.

Baada ya kupigana kwa muda mrefu siko moja Tesa aenda kanisani kugundua kwamba mchungaji waki muaminifua likuwa akimtapeli muda wote hule na amepoteza pesa zake nyingi kwake. Tesa amekasiri na ananjama na mchungaji huyu. Baada ya Roy kugundua utapeli huu, apanda njama za kumpata huyu mchungaji. Lakini Tesa bado hajafanya maamuzi.

Huba
Tesa - Huba

Je unafikiri Tesa atalipa kisasi? Au atasamehe?

Alipize kisasi15%
Asamehe85%

Kumbuka kwamba unaweza kujiunganisha na #MyDStv App kufuatilia kipindi cha #MMBHuba na usikose vipindi vipya kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku.