Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Kutoka kuwa mama wa kambo na kuja kuwa mke mwenza – Huba

Habari
20 Machi 2024
Je muda umefika kwa Sidi kuwa mke wa tatu wa JB?
Huba

Baada ya Tima kuolew na JB aliamua kuhamisha familia yake nzima toka uswazi kuja kuishi naye na JB. Lakini kipindi hicho alikuwa hajui kwamba JB alisha kuwa na mke wa kwanza, Happy na yeye atakuja kuwa mke wa pili.

Familia ya Tima ilikuja na vurugu sana, alikuja na baba yake, Kashaulo na mke wake, Sidi. Mahusiano kati ya Tima na baba yake sio mazuri baada ya Kashaulo kuamua kuondoka kwa Tima baada ya kufikiria kwamba JB sio mtu mzuri na kuwa na wasiwasi kwamba Sidi anaweza kuwa na hisia kwa JB.

[video]

Ingawa, kwa muda mrefu Sidi amekuwa kijificha na mahusiano yake kwa JB baada ya kulewa usiku mmoja pamoja na Tima na JB. JB alimbusu Sidi na hisia zake zilimpanda nah apo ndipo mahusiano yao waliaanza kwa rasmi. Muda wote huo Tima wala Happy, mke wa kwanza, hawajui kinachoendelea. Je itakuaje Tima akigundua ukweli?

Huba
JB na Sidi - Huba

Je Sidi anamfaa JB zaidi?

Click here to make your selection
Ndiyo
Hapana

Jiunganishe na #MyDStv App popote ulipo na usikuose vipindi vipya kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo.