Logo
Huba S12 BB
channel logo dark

Huba

160Drama16

Huba la nani limekupendezisha? – Huba

Habari
19 Februari 2024
Kati ya hawa ni huba la nani umelitamani zaidi?
Huba

Bado tunaendelea kusherekea mwezi huu wa mapenzi. Kipindi cha #MMBHuba ni kipindi ambacho kinafuatilia mapenzi. Ndani ya hiki kipindi kina wanandoa tofauti wapendwa. Soma hapo chini na chagua wpendanao unaowakubali zaidi.

Abby na Nelly

Abby na Nelly walikutana baada ya Abby kuachwa na Doris. Baada ya kujuana kwa muda mfupi, Abby alimpeleka Zanzibar kukutana na familia yake na pia kufunga ndoa. Kwa bahati mbaya mke wa mjomba Bob aliuwawa kwenye siku ya harus yao.

Tesa na Roy

Baada ya Devi kuumwa mahusiano kati ya Tesa na Roy, yalizidi ukaribu. Tesa alijikuta ametapeliwa na mchungaji wake na maisha ya Roy na Tesa yamekuwa magumu.

Doris na Jude

Baada ya kuachwa na Roy na pia Abby, Doris alijikuta mkononi mwa Jude tena. Lakini Bi Sikitu ndiyo muhusika mkubwa mwa mwanzo ya haya mahusiano.

JB na Happy

Happy ni mke wa kwanza wa JB kabla ya Tima. Kwa sasa hivi kila mtu na hisi kwamba Happy atakuwa anaujauzito.

Chagua Huba unalolipenda!

Kati ya hawa wanandoa wote, ni huba la nani umelipenda?

Huba
Abby na Nelly20%
Huba
Tesa na Roy33%
Huba
JB na Happy30%
Huba
Doris na Jude17%

Usikose vipindi vipya vya #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo na kumbuka kujiunga na #MyDStv App kuburika na tamthilia zote zetu.