Huba
160
Drama
16
Main
Video
Habari
Devi aanzisha vita tena kwa Kibibi– Huba
Video
08 Aprili
Jude adai kuzungumza kutusu mtoto aliyempoteza Tima. Tesa amwambia adiar kwenda kwa Kibibi na Nelly. Jb ajiunga na kazi kwenye shamaba ya la Yakubu. Fabrizio aja kwa Happy kumtafuta Sada.
Stream on Showmax
Up Next
JB akamatwa – Huba
02 Aprili
Yakubu akutana na JB– Huba
24 Machi
Regina ndiyo MD mpya wa kampuni – Pazia
08 Machi
Frank awatembelea Michael na Mary – Jua Kali
05 Machi
Pili yupo tayari kulipa madeni Kitimtim
01 Machi
Nelly afukuzwa – Huba
24 Februari
Maudhui Yanayohusiana
Video
Fei afika mjini –Huba
Jude akutana na Devi na Roy juu ya kuangamiza Kibibi. Fei afika kwa JB kuchua majivu ya Ruby. Jude ampiga Tima tena na Fei ajielezea kwa JB. Nicole amfokea na kumfukuza Jude, tatizo nini?
Video
‘Damu ikimwagika haifunikwi na mchanga’ –Huba
JB amuonya Yakubu kuhusu kufuatilia kilo cha dada yake. Kibibi ajaribu tena kwa Fabrizio. Devi aamua kuwa single na bado anamtaka Tima. Nelly yupo tayari kulipiza kisasi na amuonya Devi.
Video
Huba la Monica na Fabrizio – Huba
Monica aanza mahusiano na Fabrizio. Tesa amuonya Kibibi juu ya kumfuatilia Devi.
Video
Pesa, shikamoo!– Huba
Jude ajikuta mikononi kwa Doris na mama yake wakati Yakubu arpa pesa shikamoo yake baada ya karudi kwa JB.