Huba
160
Tamthilia
16
Main
Video
Habari
Tima ana mimba! – Huba
Video
08 Julai
Nicole apata mwaliko mkubwa na Nelly adai kwamba Tima aseme ukweli kama ana mimba. Pia Kibibi aishiwa kupigana na Tima wakati Tima atimua kila mtu toka nyumbani kwake na Kibibi na Nelly waishia jela.
Stream on Showmax
Up Next
Doris amuroga Roy– Huba
30 Juni
Gloria ataka kurudiana na Henry– Pazia
29 Juni
Yalaiti itaanza 4 Julai - Maisha Magic Bongo
28 Juni
Michael ana shida! – Jua Kali
26 Juni
Kibibi ataka kurudiana na Devi – Huba
17 Juni
Nani kaiba simu? – Kitimtim
16 Juni
Maudhui Yanayohusiana
Video
Hali ya Tesa vipi? – Huba
Sada ampa Tima barua ya Tishi toka shuleni. Jude atakamjulia Tesa hali.
Video
Wewe mtu gani, usiyekuwa na utu?” - Huba
Tima amlilia Sidi juu ya kuchoka na maisha yake, na Kashaulo akasirika baada ya kuulizia Tesa.
Video
Abby amvisha pete Nelly– Huba
Kibibi aonwa Zanzibar wakati Tesa bado ana gombana na Roy juu ya dini. Na Abby amvisha pete Nelly.
Video
Tima apata gari mpya – Huba
JB ampa Tima gari mpya na Nelly ana wivu, Doris adai kwamba amebadirika na asema na amuonya Roy kuhusu nyumba yao.