Kibibi amtafuta baba yake – HubaKibibi awaacha Monica na Angel wakati akifuatilia mambo yake ya kutafuta baba yake na Habiba akibaki nyumbani. Bi Sikitu ataka kumuondoa Devi kwa Roy na Doris. Sada amwambia ukweli Happy wakati Happy aishia kugombana na Nicole.