Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Tima analazwa tena – Huba
Video
13 Decemba
Kama ulipitwa na #HUBATZ wiki hii , usitie shaka mambo yalikua hivi, Mapenzi hayajawahi kuacha mtu salama, Jude anakula kipondo, Sidi kavuliwa wigii, Tima nae analazwa tena... Tazama highlights hapa #HUBATZ inazidi kupamba moto
Stream on Showmax
Up Next
Kumbukumbu za Albert zinarudi – Rebeca
11 Decemba
Rachel atoka hospitali – Kapuni
08 Decemba
Mambo yachachama – Huba
06 Decemba
Daniel kafanywa bwege – Rebeca
04 Decemba
Uchungu wa mapenzi – Kapuni
01 Decemba
Mapenzi – Huba
29 Novemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Nelly ni msaliti – Huba
JB bado hamuamini Nelly, na Sidi amuonya Tima.
Video
Fei afika mjini –Huba
Jude akutana na Devi na Roy juu ya kuangamiza Kibibi. Fei afika kwa JB kuchua majivu ya Ruby. Jude ampiga Tima tena na Fei ajielezea kwa JB. Nicole amfokea na kumfukuza Jude, tatizo nini?
Video
‘Damu ikimwagika haifunikwi na mchanga’ –Huba
JB amuonya Yakubu kuhusu kufuatilia kilo cha dada yake. Kibibi ajaribu tena kwa Fabrizio. Devi aamua kuwa single na bado anamtaka Tima. Nelly yupo tayari kulipiza kisasi na amuonya Devi.
Video
“Kujiuza sio rahisi”– Huba
Happy apambana na Tima juu ya umbra wake. Bi Sikitu amuwangia Doris na Fei aondoka.