Logo
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Unakubali na wanandoa kuishi na wazazi wao? – Huba

Habari
03 Juni 2024
Nelly ang’ang’ania kuishi kwa baba yake wakati Abby yupo tayari kurudi kwao.
Huba

Baada ya kufunga ndoa Nelly alienda kuishi kwa Abby kwa muda kidogo lakini alianza kuhisi kiupweke na aliamua kurudi kwa baba yake, JB, pamoja na mume wake Abby. Nyumbani kwa JB kuna kasheshe nyingi, JB ana wake wawili Tima na Happy, ambao hawapatani kabisa. Ukiachana na hayo, Jb ana mahusiano ya kisiri na mama yake wa kambo wa Tima, Sidi. Baada ya muda kidogo Abby adai kurudi nyumban kwake kama mwanamme anaona aibu kukaa wa baba mkwe wake, lakini Nelly haelewi na adai kuzidi kukaa kwa baba yake.

Angalia: Abby adai kurudi nyumbani wakati Nelly akataa

Kumbuka kufuatilia kipindi cha #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya DStv chaneli 160.

Huba
Nelly na Abby - Huba

Je ni sawa kwa Nelly na Abby kuzidi kukaa kwa Mzee JB?

Click here to make your selection
Ndiyo
Hapana