Huba
160
Tamthilia
16
Main
VIDEOS
HABARI
PICHA
Tima akutana na mchepuko wa baba yake – Huba
Video
08 Januari
Doris ana maswali kuhusu baba yake mzazi na Bi Kisitu hatiki kuongea. Tima ana Devi waenda uswazi kutembelea Kashaulo na Sidi awaficha alipokuwepo. Lakini hatimaye Tima akutana na mchepuko wa Kashaulo.
Stream on Showmax
Up Next
Karibu! – Jua Kali
07 Januari
Nani mkubwa? – Karma
07 Januari
Pazia ya funguliwa – Pazia
06 Januari
'Mimi ndie baba mzazi wa Julieth' – Slay Queen
28 Decemba
Kabla mzee haja rudi! – Karma
28 Decemba
Juakali
22 Decemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Nani muuaji? – Dosari
Malik agundua ukweli kuhusu mama yake na Zuri ataka kujua kuhusu hali ya baba yake.
Video
Naomi agundua siri za Adrian - Nuru
Naomi agundua kwamba Ronald ndiye mrithi wa mali za baba yake baada ya Mzee Andrew kugundua kwamba siye mtoto wake na Ritha aachana na John.
Video
'Usitumalizie hasira zako' – Dosari
Rubi anajaribu kumtetea binti yake dhidi ya hasira ya baba yake baada ya yeye kujaribu kuelekeza hasira yake kwake.
Video
Vita ya Pili – Kitimtim
Pili avuruga kila itu na kufunga mama yake agombane na watu wote, na akutana na Subi na Zunde