Logo
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Ni nini kinamfanya Tesa awe adui shujaa? – Huba

Habari
15 Juni 2021
Vitu vitano vinavyomfanya Tesa awe adui wa kumogopa.
Untitled design (31)

Baada ya kukutana na Nicole, Tesa alimwambia kwamba asingependa kuwa adui nae kwasababu Tesa anao maadui wengi na anajulikana kutokuwa mtu mwema. Kunabaadhi ya vitu vinavyomfanya Tesa asipendwe na watu wengi. Baadhi ya hivi vitu yeye mwenyewe ndio aliye jiletea. Hapa chini kuna orodha vitu vitano Tesa afanya au alivyowahi kufanya ambavyo vilimfanya watu wamchukie.

  1. Anajiamini kwamba yeye ni mtu mwema.

Kwasababu ni mama na bibi, Tesa anajiamini kwamba yeye ni mtu mwema kwa jinsi anavyompenda Devi na watoto wake Devi. Ukiangalia kwenye mwanga huo inakuwa raisi kusahau kwamba, Tesa ndiye aliye kuwa mmuaji wa baba yake na Devi.

  1. Anaweza kuwa mkarimu kidogo.

Tesa akiwa mtu anaye waajili watu wengi kwenye kampuni yake ni raisi kufikiria kwamba yeye ni mtu mkarimu. Lakini ukifanya utafiti zaidi unaweza kuona kwamba wafanya kazi wengi wake wanamuogopa na wengi wapo pale kwasababu wana siri zao ambazo Tesa anazijua.

  1. Hatoacha kufanya chochote kile kupata anachotaka.

Baada ya Hank kumuacha Tesa, hakukubali kumuacha aanze Maisha yake na Anette, alimlazimisha kusafiri nae na muda woke walivyokuwa mbali aliogopesha Anette kwamba wamerudiana.

  1. Anajifanya kama mnyenyekevu.

Tesa hakupenda hata kidogo Devi kuwa na Tima, ingawa walikuwa wameoana kwa muda mrefu. Alikutana na Kibibi na wakaamua kufanya retreat ili wawaalike Devi na Tim ana Tesa amsahidie Kibibi kuwatenganisha.

  1. Ni mwongo

Mtu amabaye Tesa anamjali duniani nzima nay eye tu. Baada ya kifo cha mume wake, baba Devi, alimuongepea Devi ni nini kilimtokea baba yake harafu na kumficha mali zake.

Je unamkubali Tesa kama adui au unamuogopa?