Tima aliaamua kutoroka baaada ya kuchoka na mateso ya Jude. Kwa bahati mbaya alijikuta amepotea na gari lake lili mharibika njiani. Na msamalia mwema alimsahidia kupata fundi wa kurekebisha gari.
Wakati wote Jude alikuwa akimtafuta na hatimaye alimpata kwa fundi. Tatizo kubwa lilikuwa kwamba harisi na wivu wa Jude ulimfanya afikirie kwamba Tima alikuwaanatembea na huyo fundi aliyemsahidia. Na akaishia kumuua fundi.
Tatizo limekuwa, polisi wamegundua mwili wa fundi na sasa wanatafuta mtu aliye muua. Tim ana Jude ndio watu wa mwisho kuonekana nae, lakini hawana Ushahidi wa kutosha. Baada ya kurudi nyumbani, Tima alimwambia Chidi kuhusu Jude na kifo cha fundi. Kati ya watu waliohojiwa na polisi, ni nani anastahili kuwekwa jela?
Tima
Kitendo cha Tima kuondoka na kupotea, kilimfanya akutane na fundi na Jude kumuua. Ingawa yeye hakuua, alimsahidia Jude kuondoa mwili na hakuambia polisi ukweli.
Jude
Yeye ndio muuaji, lakini Pamoja na Tima walificha mwili na sasa anamlazimisha Tima kutoongea.
Chidi
Chidi alijuka kwenye hili swala baada ya kugundua kukweli, lakini badala ya kuwaambia polisi alinyamanza.
Tuambie ni nani akamatwe?
Usikose kipindi cha #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku!