channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kila mtu aliye alikwa kwenye retreat ya Kibibi - Huba

Habari08 Februari 2021
Kibibi na Tesa wa andaa likizo ili watumie muda huo kuimarisha mahusiano yao.
Screenshot 2021 02 08 at 11

Kibibi aamua kuwaalika washiri tofauti kwenye nyumba yake ya likizo kuonyesha maisha yake yako juu, na hapa ni listi ya kila mtu aliyekuwepo:

 

Kibibi

Muandaaji wah ii likizo na mhusika maaluum Pamoja na Tesa, alikuja na mwanae Angel.

 

Tesa

[embed Tesa image]

Mshiriki rasmi kwenye hii likizo Pamoja na Kibibi, Tesa amekuja kwa sababu anataka kutumia muda huu kurudiana na Pedro.

 

Pedro

Alialikwa na Tesa, wakati Tesa akisinzia kwamba amealikwa kikazi. Amemuacha mchumba wake Aneth nyumbani na amemuongopea kwamba hayupo na Tesa.

 

Tim ana Devi

Hawa wanandoa wawili kwenye hii retreat na waliakwa na mama yake Devi, Tesa, lakini Pamoja na Jude, Tesa anampango wa kuvura ndoa yao.

 

Roy

Roy alialikwa rasmi na Kibibi Pamoja na Doris, lakini Doris alikataa kuja. Alipofika kwenye retreat alikutana na Nandy, mpenzi wake wa zamani na alianza kuwaza kama wanaweza kurudiana.

 

Chidi na Happy

Happy ilikuwa lazima aje kwasababu Tima alileta Watoto na Happy kazi yake ilikuwa kuwaangalia hawa watoto, Chidi alikataa kubaki na aliambatana na Happy.

 

Nandy na Yakubu

Nandy alialikwa na Kibibi aje kutoa burudani na kwasaabu Yakubu ni mpenzi wake na maneja wake na yeye pia alialikwa.

 

Sada

Sada likuja na Nandy na Yakubu na pia ndie mpishi rasmi.

 

Jude

Jude amekuja kwasababu yeye na Kibibi na Tesa wanampango wa kuvura ndoa ya Devi na Tima, ili Jude arudiane na Tima.

 

Kichuna

]
Kichuna anaye julika kama Nicole kwa wengine, amealikwa na Jude ilia je kuvuruga ndoa ya Tima na Devi.

 

Fuatilia #HubaTZ kila Jumatatu mpaka Ijumaa saa 3 usiku na marudio kila Jumamosi saa  10:30 jioni  ndani ya DSTV chaneli 160 kufuatilia kasheshe zote ndani yah ii retreat.