Logo
channel logo dark

Harusi Yetu: Our Perfect Wedding...

160RealityPG13

Harusi tatu za kitanzania za kukumbukwa zaidi – Harusi Yetu

Habari
30 Mei 2023
Orodha za harusi zilizovuma ndani ya kipindi cha Harusi Yetu mwaka huu.
Article

Kipindi cha #MMBHarusiYetu kimekuletea harusi momba nchini Tanzania. Kuanzia mwisho wa mwezi tunakuletea mapumzisho ya vipindi vya #MMBHarusiYetu wakati tukiwa tunawaletea vipindi vipya ndani ya muda huo. Tumekuandalia orodha ya harusi zilizo tamba mwaka huu ndani ya kipindi cha #MMBHarusiYetu:

Catherine na Peter 

Asia na Hemedy

Defina na Japhet


Kwa sasa hivi endelea kuburudika na vipindi vilivyovuma sana ndani ya msimu huu wa #MMBHarusiYetu kila Alhamisi saa 1 usiku ndani ya DStv chaneli 160!