Kipindi cha harusi kutoka Tanzania kinachoshuhudia, hatua kwa hatua safari ya maandalizi ya harusi kuanzia Kitchen Party, Send off na Sherehe za harusi rasmi! Kila Alhamisi saa 1 usiku hapa #MMBongo!
S8 | E26
14 Juni 07:00
'Harusi Yetu: Our Perfect Wedding Tanzania. S8/E26'. Shamra shamra za harusi kutoka Tanzania, shuhudia safari za wapenzi...
Toa maoni yako kuhusu kipindi cha wiki hii cha #MMBHarusiYetu
Tuambie kama unaweza kumruhusi mke/mume wako kuwa na mahusiano na ex wake? ?