channel logo dark
DMFTanzaniaBillBorad
channel logo dark

Date My Family Tanzania

160Uhalisia16

muhula

3

IMG 20200708 152959

KUHUSU KIPINDI

Kipindi hiki cha aina yake cha mahusiano, humuonyesha kijana katika hatua zake za kuchumbia lakini tofauti na ilivyozoeleka, hapa kijana atakuwa anawasiliana na familia za wachumba watarajiwa na hatimaye kufanya maamuzi ya mchumba kabla hata hawajaonana.

S3 | E1
05 Machi 00:00
'S3/E1'. kipindi ambacho bachela ,huwasiliana na familia ya mchumba mtarajiwa, je familia zao zitawasaidaidia au zita wa...
denise johnson siRbJlln xA unsplash
Unaweza kuwa na mahusiano na mtu mnene sana?

Je unaweza kuwa na mahusiano na mtu mnene sana? Piga kura yako hapa

Ndiyo32%
Hapana68%