Danga
160
Drama
16
Main
Angel akutana na Mark– Danga
Video
01 Januari
Angel aongea na Mark kuhusu kuwekwa kwenye bank akaunti yake. Wakati Pipi yupo na danga lake mpya.
Jisajili kuangalia
Up Next
Nelly ataka kuondoka – Huba
24 Decemba
Mama Stella afika – Jua Kali
18 Decemba
Sam aachwa – La Familia
17 Decemba
Kibibi ka kasirika! – Huba
10 Decemba
Machozi ya Mwaka 2021
09 Decemba
Kazi imeanza – Danga
08 Decemba
Maudhui Yanayohusiana
Video
Fei afika mjini –Huba
Jude akutana na Devi na Roy juu ya kuangamiza Kibibi. Fei afika kwa JB kuchua majivu ya Ruby. Jude ampiga Tima tena na Fei ajielezea kwa JB. Nicole amfokea na kumfukuza Jude, tatizo nini?
Video
Edu ampigania mke wake– Pazia S6
Fred adai receipt ya kumlipia ada, Lolita amwambia Henry kuhusu Miriam. Edu amung’ang’ania Regina asiondoke na Ward akutana na Dhahabu wakiti Jemo akiwaona.
Video
Huu ni uchizi gani wa mapenzi? – Mwali
Nozo agenda kwamba baba yake alijaribu kujiuua juu ya Mwanahawa na mama yake anawasiwasi kwamba Mwanahawa amemfanya kitu. Semindu ana wasiwasi mkubwa na Nozo akutana na Zawadi. Semindu adai kurithi kiti cha baba yaka.
Video
Henry hataki usumbufu! – Pazia S6
Chamsia akutana na bosi nnje ya kazi, Bidu amwambia Sadiq kujificha. Edu atakurudi kwa Regina na Warida ampinga. Henry amwambia Miriam amuache.