Kuu Videos
Orodha ya Video
Videos
Zaidi
Video
Razia Azidiwa, Balui Akata Tamaa – JIVU
Razia anaumwa ghafla na hali yake kuwa mbaya! Mumewe na familia ikihangaika kwa kila njia kuokoa maisha yake. Lakini mambo yanazidi kuwa mabaya zaidi pale Balui anapokata tamaa na kujaribu kujiua!
Video
Mwanida Achoshwa na Tabia za Frank – Mpali
Mwanida anamwambia wazi Frank kuwa amechoshwa kuhusishwa na matukio yake ya kihalifu. Wakati huohuo, Hambe na mkewe wanabaki kuchanganyikiwa baada ya kugundua kwamba polisi wameanza kufahamu michezo yao ya kificho.
Video
Kibibi Aachiwa, Kesi Yafutwa – Huba
Kibibi anashangaa pale anapoambiwa kesi yake imefutwa na wakubwa bila kueleza zaidi nani alikuwa mshitaki. Wakati huo, Ritha na Nicole wanakutana uso kwa uso kwenye mzozo mkali unaoleta msuguano mpya. Lakini mambo yanachukua mwelekeo tofauti pale Kibibi anapokutana na Ray na Faudhia—akiwa na furaha na matumaini mapya ya kufanya biashara na Ray.
Video
Broken Pieces
--- Endelea kutizama DStv chaneli 160 Official Website: https://bit.ly/3lXtAFc Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax: https://bit.ly/2KnGqyv Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Video
Mitihani ya Bilu inazidi kuwa mizito kwenye JIVU!
Safari hii, maskini Bilu amesingiziwa wizi na raia wenye hasira wakamgeuzia kisasi bila huruma. Je, ataweza kujinasua na kutafuta haki, au hili litazidi kumuangusha zaidi?
Video
Vita ya Kamishna na Zulu Brothers – The Wife
Kisasi cha Kamishna kimefika hatua ya hatari! Akiwa bado na majonzi ya kifo cha mkewe, anawageukia Zulu Brothers na kuanzisha vita kali dhidi yao. Lakini je, Zulu Brothers watasalimu amri au vita hii itageuka kuwa damu juu ya damu?
Video
Mke wa Hambe Azidi Kuteseka kwa Mapenzi ya Kuzo – Mpali
Drama ya Mpali haina kikomo! Mke wa Hambe anaendelea kulipia makosa ya mumewe kwa kuwa mtumwa wa mapenzi wa Kuzo . Wakati huo huo, Shadrack anamzawadia mchumba wake pete — ishara ya mwanzo mpya au changamoto mpya zinakuja?
Video
Faudhia Arudi na Kukuta Ray kwa Nelly – Huba
Drama ya Huba yazidi kuchanganya! Faudhia amerudi baada ya muda, lakini anashangaa kumkuta Ray akiwa kwa Nelly katika hali tata :flushed:. Lakini mambo hayaishii hapo—Faudhia anamtolea Abby onyo kali! Je, hii ndiyo mwanzo wa vita vipya vya mapenzi?
Video
Mshangao Mkubwa! – Huba
Ray na Tima wanakutana bila kutarajia kwa Ritha, malumbano makali yaibuka, na huku nako Roy na Kibibi wamendeleza mapambano yao juu ya umiliki wa nyumba
Video
Zulu Brothers Wakamatwa na Kamishna – The Wife
Mambo yanazidi kushika moto kwenye The Wife! Kamishna anawakamata Zulu Brothers na safari yao inaishia sero . Lakini kubwa zaidi—Mahlomu akutwa na ujauzito! Je, ni wa mume wake Mqhele au wa Qhawe, kaka yake?
Video
Mimba ya Mahlomu Yazua Maswali – The Wife
Mahlomu anapatikana na ujauzito—lakini ni wa nani kweli? Je, ni wa mume wake Mqhele au wa Qhawe, kaka yake? Siri hii inaweza kuvunja familia nzima!
Video
Zulu Brothers Wakamatwa na Kamishna – The Wife
Safari ya Zulu Brothers inafika pabaya! Kamishna anawakamata na safari yao inaishia sero. Lakini drama haishi hapo—Mahlomu anabeba siri kubwa ya ujauzito! Je, ni wa Mqhele au wa Qhawe?
Onyesha Zaidi
12 ya 1241
DSTV SPOTLIGHT
Get DStv
Get Showmax
Self-service MyDStv
Stream DStv