Pazia
160
Tamthilia
16
MAIN
VIDEO
HABARI
Angalia
Razia Azidiwa, Balui Akata Tamaa – JIVU
Mwanida Achoshwa na Tabia za Frank – Mpali
Video
Kibibi Aachiwa, Kesi Yafutwa – Huba
Kibibi anashangaa pale anapoambiwa kesi yake imefutwa na wakubwa bila kueleza zaidi nani alikuwa mshitaki. Wakati huo, Ritha na Nicole wanakutana uso kwa uso kwenye mzozo mkali unaoleta msuguano mpya. Lakini mambo yanachukua mwelekeo tofauti pale Kibibi anapokutana na Ray na Faudhia—akiwa na furaha na matumaini mapya ya kufanya biashara na Ray.
Video
Broken Pieces
--- Endelea kutizama DStv chaneli 160 Official Website: https://bit.ly/3lXtAFc Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax: https://bit.ly/2KnGqyv Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo
Video
Mitihani ya Bilu inazidi kuwa mizito kwenye JIVU!
Safari hii, maskini Bilu amesingiziwa wizi na raia wenye hasira wakamgeuzia kisasi bila huruma. Je, ataweza kujinasua na kutafuta haki, au hili litazidi kumuangusha zaidi?
Video
Vita ya Kamishna na Zulu Brothers – The Wife
Kisasi cha Kamishna kimefika hatua ya hatari! Akiwa bado na majonzi ya kifo cha mkewe, anawageukia Zulu Brothers na kuanzisha vita kali dhidi yao. Lakini je, Zulu Brothers watasalimu amri au vita hii itageuka kuwa damu juu ya damu?
Video
Mke wa Hambe Azidi Kuteseka kwa Mapenzi ya Kuzo – Mpali
Drama ya Mpali haina kikomo! Mke wa Hambe anaendelea kulipia makosa ya mumewe kwa kuwa mtumwa wa mapenzi wa Kuzo . Wakati huo huo, Shadrack anamzawadia mchumba wake pete — ishara ya mwanzo mpya au changamoto mpya zinakuja?
Video
Faudhia Arudi na Kukuta Ray kwa Nelly – Huba
Drama ya Huba yazidi kuchanganya! Faudhia amerudi baada ya muda, lakini anashangaa kumkuta Ray akiwa kwa Nelly katika hali tata :flushed:. Lakini mambo hayaishii hapo—Faudhia anamtolea Abby onyo kali! Je, hii ndiyo mwanzo wa vita vipya vya mapenzi?
Yajayo
Leo
Jumatatu
Kesho
Alhamisi
Ijumaa