Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E124
05 Novemba 21:30
'S8/E124 of 179'. Thomas afichua kwa Enzo kwamba alishawahi kuwa na mahusiano na Regina, Professa anagundua hana muda mr...