Katika Juakali, Ginna bado hajakata tamaa. Licha ya changamoto na vikwazo vinavyozidi kujitokeza, anaendelea kumkazia Enzo kwa msimamo na hisia kali, akiamini kuwa mapenzi yao yanaweza kushinda yote.
Kadri siku zinavyosonga, presha inaongezeka na maamuzi ya Ginna yanaanza kuibua maswali makubwa. Je, kumkazia Enzo ni ishara ya mapenzi ya kweli au ni mwanzo wa maumivu mapya?