Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E189
26 Februari 21:30
'S8/E189 of 243'. Mitego ya Professa inatiki Mrs Bill anaumbuka, Patrick anakiwasha anamtimua Semeni, Regina na Enzo tum...