Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E237
21 Mei 21:30
'S8/E237 of 260'. Sekeseke linaendelea nyumbani kwa Professa hapakaliki, Mipango ya Frank na Thomas inabamba moto, mahus...