channel logo dark
Broken Pieces SP Billboard
channel logo dark

Broken Pieces

160TelenovelaPG13

muhula

Broken Pieces Poster

Kwa undani zaidi

Broken Pieces ni tamthilia ya kusisimua inayosimulia maisha ya familia mbili zilizounganishwa na makosa ya hospitali — watoto kubadilishwa bila kujua. Miaka 15 baadaye, ukweli unapoibuka, unaleta mgawanyiko mkubwa kati ya wazazi, watoto, na maisha yao. 

S1 | E221
29 Julai 14:00
'S1/E221'. Watoto wanabadilishwa hospitalini kimakosa, Miaka 15 baadae, siri kubwa inafichuka na maisha yao kubadilika.

Vipindi Zaidi