channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kibibi Akasirishwa na Roy Kulewa Kazini – Huba

Video30 Decemba

Kibibi na Roy wanaanza ukurasa mpya kwa kufanya kazi pamoja kwenye club . Lakini mambo hayaendi kama alivyotarajia, kwani Roy anaonekana kulewa kazini—jambo linalomkasirisha sana Kibibi. Katika hasira na maumivu, Kibibi anamwambia wazi kuwa hana msaada wowote… na penzi lao linaanza kuyumba . Wakati huo huo, tunamuona Tajiri akimshauri Ritha kwa busara: ugomvi haujengi, ni muhimu kutafuta njia za hekima kupata suluhu . Lakini je, ushauri huo utasikilizwa? Au moto wa migogoro utaendelea kuwaka — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ