channel logo dark
Jivu S1 Slim BB Desktop
channel logo dark

Jivu

160DramaPG13

Sada na Karen Wapigana Kwa Ajili ya Munir – Jivu

Video20 Decemba

Mapenzi yanageuka uhasama mkali. Sada na Karen wanakutana uso kwa uso na mvutano wao unalipuka hadharani — kila mmoja akimwania Munir kwa hasira na maumivu . Maneno makali yanageuka mapambano ya wazi, yakiacha mshangao na maswali mazito: Je, Munir atachagua nani… au wote watampoteza? Drama ya Jivu inaendelea kuonyesha jinsi wivu na mapenzi vinavyoweza kuharibu kila kitu kwa sekunde chache. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ