channel logo dark
slim
channel logo dark

Maisha Yangu

160RealityPG13

Joachim Maunde Kimario (Master J) – Maisha Yangu

Video22 Mei

Master J ni mtayarishaji wa muziki hodari nchini Tanzania na mmiliki wa studio ya Muziki ya MJ Records. Amefanya kazi na kukuza vipaji vya wasanii wengi sana Tanzania. TAZAMA highlights hapa