channel logo dark
channel logo dark

Gharika

160DramaPG13

Gamba amkaba Queen –Gharika

Video22 Februari

Queen na Mzee Gamba wana maongezi kuhusu kuachana kimapenzi huku Queen anasisitiza kuwa bado wapo pamoja na hawezi kuachika kirahisi huku Gamba anaichukulia kama 'kuhadaiwa' na kumkaba koo. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ