channel logo dark
 slim mchikicho new
channel logo dark

Mchikicho Wa Pwani

160RealityPG13

Joyce hajifahamu- Kapuni

Video29 Septemba

Wikii hii kwenye Kapuni mambo yalipamba moto. Baada ya mazishi na aibu za Brown, Joyce hajifahamu, alazwa hospitalini, Robert anayo huba wapatana uso kwa uso na Brown hospitalini. Kama ulikosa hujachelewa, #KAPUNITZ kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku usikose !