channel logo dark
 slim mchikicho new
channel logo dark

Mchikicho Wa Pwani

160RealityPG13

Vurugu kwenye Mazishi-Kapuni

Video22 Septemba

Je ulitazama #kapuni wiki hii? Hali ni vituko na visanga, kama ulipitwa yaliojiri ndio haya, Koku apata kipigo cha mwaka, Brown bado hapatikani, Liwalo na liwe Robert anaamua kufika kwenye mazishi, Brown anawasiri -atisha kufukua kaburi, nani atamtetea? usikose #kapuni kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku.