maisha magic bongo logo

Misa na Shami wakutana – Karma

Video21 Decemba

Misa ajaribu kumuelezea Shami jinsi gani alivyomchua Derrick. Misa amwambia kwamba wanampenda Derrick na anaujauzito wake na Shami ampiga kofi. Moga azusha ugomvi na Kivu na mama yake. — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ