Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E193
05 Machi 21:30
'S8/E193 of 243'. Sekeseke linaendelea nyumbani kwa Professa hapakaliki, Mipango ya Frank na Thomas inabamba moto, mahus...